Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Tazara ina urefu wa kilomita 1860.
Ni reli ya kiwango cha Cape Gauge.
ilijengwa toka mwaka 1970 mpaka 1975.
NB:
Standard Gauge Railway [sgr] ni 1435 mm.
Cape Gauge Railway ni 1067 mm.
Metre Gauge Railway ni 1000 mm.
uvccm walivyo watu wa hovyo na mbumbumbu sidhani kama watafaidika kwa namna yoyote ile kwa kumtembelea Mzee Kaunda.Huyu mzee ndio pekee aiyebaki katika timu Nyerere kwa nini UV CCM wasipange safari kwenda kumsalimia babu yao?
uvccm walivyo watu wa hovyo na mbumbumbu
Uvccm jukumu lao ni kusupport, kusema ndio na kuunga mkono juhudi zozote za serikaliHuyu mzee ndio pekee aiyebaki katika timu Nyerere kwa nini UV CCM wasipange safari kwenda kumsalimia babu yao?
Kwa kumbukumbu tu wachina hao walivaa nguo zilizowekewa viraka in advance matakoni, kwenya magoti, na kwenye vipepsi kuepuka usumbufu wa ku repair mavaziMradi huo wa kimkakati ulifadhiliwa na na Serikali ya China.