Tujikumbushe: Hii ni movie gani?

Tujikumbushe: Hii ni movie gani?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Tupe maneno mawili matatu kuhusiana na movie hii.
IMG_5153.jpeg
 
A
Sema Bill Drago jamaa alikua katili mbaya sio kwa kuigiza kule alafu anaongea taratibuuu kama hatakii kumbe anachomoa kijibisu chake akukate koo🤣🤣
Alafu Akimaliza Analamba Kisu Chake Chenye Damu
 
Back
Top Bottom