Tujikumbushe historia Yanga vs Simba

Tujikumbushe historia Yanga vs Simba

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
2,601
Reaction score
2,058
Simba ilichukua ubingwa miaka 5 mfululizo , yaani 1976,1977,1978,1979,1980. Ilifanya hivyo kwa kujibu mapigo ya Yanga ilivyonyakua taji hilo 1968,1969,1970,1971,1972.

Kwa kipindi chote Simba ilipotawala ilichangiwa saana na mgogoro Wa Yanga uliosababishwa kikosi kizima kufukuzwa na kuanza kujijenga upya.

1980 mechi ya mwisho ya ligi Yanga ilifungwa 3-0 na Simba lkn wapenzi walitoka wakishangilia, sababu waliamini utakuwa ndiyo mwisho Wa kukosa kombe ,kwani kikosi chao kilionesha kandanda safi.

Mwishoni mwa maana huo 1980 kuliandaliwa kombe lililoitwa KOMBE LA JENGO ambapo Yanga ilijitutumua na kupata safe 1-1 goli laYanga likifungwa na SHABAN KONDO " MMAKONDE' likiwa ni la kusawazisha goli la upande Wa kaskazini.

1981 baada ya ligi ya timu kupangwa kwenye vituo, fainali ilichezwa Dar uwanja Wa UHURU Shamba la bibi, timu zikiwa SIMBA,YANGA ,PAN NA CDA.

mechi ya ufunguzi iliwakutanisha YANGA VS. SIMBA unataka matokeo.? Na nani? Alifungwa? Upande UPI? Goli lilikuwaje?
 
DUH weye James Nhende mwandishi wa gazeti la michezo la Mfanyakazi ehh
 
Back
Top Bottom