Tujikumbushe ilivyokuwa wiki ya kwanza boarding school kidato cha kwanza

Tujikumbushe ilivyokuwa wiki ya kwanza boarding school kidato cha kwanza

Bora wewe mkuu,nilipangiwa shule moja maarufu tu,day one nilikataa wali wa shule, niliuona mbaya.Pia nilikuta watu wanakimbiza hadi topic za form 2 japo wapo form one, ukizingatia mimi nina madaftari mapya.Nikajisemea hizo ni mbwembwe tu,mbona primary nimewaburuza tena A flat necta.

Unajua nini,form 1 nzima,kila mtihani,mimi ndo wa mwisho mpaka nikatamani nihame ile shule.
huwa ni mbaya hiyo atari, uende darasa watu mpo form one ila wenzio wanasolve hadi maswal ya form four, wakat wew unahangaika na ya form one.
Isha wah nikuta ilinifkilisha sana na kuninyima aman kabxa.
 
hahah ilikuaje mkuu,au na wewe ulipelekwa umenyeni.
 
Back
Top Bottom