Bora wewe mkuu,nilipangiwa shule moja maarufu tu,day one nilikataa wali wa shule, niliuona mbaya.Pia nilikuta watu wanakimbiza hadi topic za form 2 japo wapo form one, ukizingatia mimi nina madaftari mapya.Nikajisemea hizo ni mbwembwe tu,mbona primary nimewaburuza tena A flat necta.
Unajua nini,form 1 nzima,kila mtihani,mimi ndo wa mwisho mpaka nikatamani nihame ile shule.