Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
MATATA: Nikumbushe Majina yako.
SHAHIDI: Naitwa Inspector Mahita Omary Mahita.
MATATA: nitakuwa Sahihi nikisema wewe ni Mtoto wa IGP mstaafu Omary Mahita.
SHAHIDI: Upo sahihi
MATATA: Wakati Baba yako akiwa IGP wewe Ulikuwa wapi?
SHAHIDI: Nilikuwa Chuo kikuu
MATATA: Kwahiyo wakati Baba yako akiwa IGP ulikuwa na akili timamu?
SHAHIDI: Ndio
MATATA: Unakumbuka madai ya baba yako kuwakuta wafuasi wa CUF na visu akadai wamekusudia kufanya ugaidi.
WAKILI WA JAMHURI: Objection Mheshimiwa Jaji. Naomba swali hilo liondolewe.
MATATA: Wakati mnawakamata watuhumiwa mlikuwa na Kikosi Maalum?
SHAHIDI: Ndio
MATATA: Kikosi chote kilitokea Arusha?
SHAHIDI: Ndio
MATATA: Na kikosi hicho kilikuwa chini ya RPC Kingai ambaye wakati huo alikua RCO Arusha?
SHAHIDI: Sahihi kabisa
MATATA: Unapotoka kwenye kituo unapaswa kuwa na Movement Order?
SHAHIDI: Ndio
MATATA: Ulipotoka Arusha kwenda Moshi hukueleza kuwa na