Tujikumbushe kauli ya Rage

Tujikumbushe na kauli ya manara
 
Sasa uzito wa kauli ya mwanasimba rage na huyo mzungu ambae sio mwanayanga ipi ina uzito?
Yenye uzito ni ile kuitwa viongozi wa ynga wengi hawana akili hawajasoma mashabiki wa timu ya yanga ni manyani mambwa wana bweka bweka hovyo mpaka akapewa adhabu ya rage tumeona na kama kauli ya mnywa kahawa
 
Mwamba Luc eymael huyu hapa
 
Mwamba mwingne huyu hapa hii ni yanga au UTOPOLO
 
Achana na hayo , hebu UTOPOLO tuamboeni imekuaje had leo hamjui tofauti kati ya CAFCC&CAFCL mna nn lakn🤣
 
Achana na hayo , hebu UTOPOLO tuamboeni imekuaje had leo hamjui tofauti kati ya CAFCC&CAFCL mna nn lakn🤣
Kuna wanachokitambua sasa wanadhan logo za CAFCC ni sawa na CAFCL ngoja tuwafundishe nadhan hata jezi zao watakuwa wameweka badge ya CAFCL badala ya CAFCC
 
Sasa uzito wa kauli ya mwanasimba rage na huyo mzungu ambae sio mwanayanga ipi ina uzito?
Yenye uzito ni ya Rage hiyo ya mzungu haina uzito wowote si unajua hawa jamaa wana kawaida ya kudharau ngozi nyeusi ,huoni hata ulaya huko kuna wakati wachezaji weusi wanatupiwa ndizi uwanjani.
 
Yenye uzito ni ile kuitwa viongozi wa ynga wengi hawana akili hawajasoma mashabiki wa timu ya yanga ni manyani mambwa wana bweka bweka hovyo mpaka akapewa adhabu ya rage tumeona na kama kauli ya mnywa kahawa
Yenye uzito ni ile ya mwanasimba kuwaita wanasimba wenzake mbumbumbu
 
Ndio maana mnaitwa mbumbumbu mimi nataka video ikisikika sauti ya Luc Eymael akitamka wazi sio watu wakisherehesha.
We mbwa umesikiliza au huna bando nikurushie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…