Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uzito wa kauli ya mwanasimba rage na huyo mzungu ambae sio mwanayanga ipi ina uzito?Pia tujikumbushe kauli ya huyu mwamba maana utopolo wanajifanya wamesahau.View attachment 2510006
Weka video kama mwamba hapo juu alivyofanya ile equation ibalance..Pia tujikumbushe kauli ya huyu mwamba maana utopolo wanajifanya wamesahau.View attachment 2510006
Bora uwaulize weweSasa uzito wa kauli ya mwanasimba rage na huyo mzungu ambae sio mwanayanga ipi ina uzito?
Ataitoa wapiWeka video kama mwamba hapo juu alivyofanya ile equation ibalance..
Yenye uzito ni ile kuitwa viongozi wa ynga wengi hawana akili hawajasoma mashabiki wa timu ya yanga ni manyani mambwa wana bweka bweka hovyo mpaka akapewa adhabu ya rage tumeona na kama kauli ya mnywa kahawaSasa uzito wa kauli ya mwanasimba rage na huyo mzungu ambae sio mwanayanga ipi ina uzito?
Weka video kama mwamba hapo juu alivyofanya ile equation ibalance..
Kuna wanachokitambua sasa wanadhan logo za CAFCC ni sawa na CAFCL ngoja tuwafundishe nadhan hata jezi zao watakuwa wameweka badge ya CAFCL badala ya CAFCCAchana na hayo , hebu UTOPOLO tuamboeni imekuaje had leo hamjui tofauti kati ya CAFCC&CAFCL mna nn lakn🤣
Yenye uzito ni ya Rage hiyo ya mzungu haina uzito wowote si unajua hawa jamaa wana kawaida ya kudharau ngozi nyeusi ,huoni hata ulaya huko kuna wakati wachezaji weusi wanatupiwa ndizi uwanjani.Sasa uzito wa kauli ya mwanasimba rage na huyo mzungu ambae sio mwanayanga ipi ina uzito?
Yenye uzito ni ile ya mwanasimba kuwaita wanasimba wenzake mbumbumbuYenye uzito ni ile kuitwa viongozi wa ynga wengi hawana akili hawajasoma mashabiki wa timu ya yanga ni manyani mambwa wana bweka bweka hovyo mpaka akapewa adhabu ya rage tumeona na kama kauli ya mnywa kahawa
Mwamba mwingne huyu hapa hii ni yanga au UTOPOLO
Chukua hii basi we utopoloYenye uzito ni ile ya mwanasimba kuwaita wanasimba wenzake mbumbumbu
Sasa hayo ni matusi ? Hivi kwanini linapokuja suala la mpira watu hamutumii akili kama hivi?Chukua hii basi we utopolo
Ndio maana mnaitwa mbumbumbu mimi nataka video ikisikika sauti ya Luc Eymael akitamka wazi sio watu wakisherehesha.Mwamba Luc eymael huyu hapa
We mbwa umesikiliza au huna bando nikurushie?Ndio maana mnaitwa mbumbumbu mimi nataka video ikisikika sauti ya Luc Eymael akitamka wazi sio watu wakisherehesha.