Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo ni Jusa na si Mazrui mkuu.View attachment 2349965hiki nikipigo alichopata mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar Leo ni waziri wa afya Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati
Nakwambia polisi wetu wanajua kupiga ni hatari waliamua kupiga sehemu Moja tuHalafu unakuta aliyempiga akimuona Mazrui anampigia salute ndo maana Mimi Kazi zingine zisizohitaji reasoning nilizipiga chini, siwezi amriwa tu kama jibwa without reasoning