Tujikumbushe kidogo kifinyo hiki cha Polisi huko Zanzibar

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715

Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
 
Halafu unakuta aliyempiga akimuona Mazrui anampigia salute ndo maana Mimi Kazi zingine zisizohitaji reasoning nilizipiga chini, siwezi amriwa tu kama jibwa without reasoning
 
Halafu unakuta aliyempiga akimuona Mazrui anampigia salute ndo maana Mimi Kazi zingine zisizohitaji reasoning nilizipiga chini, siwezi amriwa tu kama jibwa without reasoning
Nakwambia polisi wetu wanajua kupiga ni hatari waliamua kupiga sehemu Moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…