Tujikumbushe Kidogo miaka hiyo...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kipindi hicho collage boy Second year 2008,nina bonge moja la Afro,hakuna wasap hakuna instagram simu za touch zilikuwa za kichina zina peni yake...ujanja ilikuwa kuban Cd Mp3,au kununua Album,blog zilikuwa djfetty,djchoka etc...Ze utam ndo ilikuwa inabamba saanaaa...

Basi bwana ilikuwa ukitaka habari na mastori ya town inabidi ucheki na Jarida la Bab Kubwa kwa sh 1000 tu....mnakumbuka hili jarida?
 
Kweli watu tunatoka mbali
 
Kila zama zilikua na mambo yake, wakati huo wewe unasoma na ku-reminisce hayo mambo, wenzako tulikua tayari tunapambana na maisha
 
Wema akiwa bado ni MTU, maana sasa hivi haeleweki, Leo shape kama mpiraaa, kesho kama andazi, kesho kutwa kama nanasi, yaan fujo tupuuu.

Anti akiwa bado na rangi nzuriiiiiii ya kiafrica, sasa hivi ni mzungu, vurugu tupuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wema akiwa bado ni MTU, maana sasa hivi haeleweki, Leo shape kama mpiraaa, kesho kama andazi, kesho kutwa kama nanasi, yaan fujo tupuuu.

Anti akiwa bado na rangi nzuriiiiiii ya kiafrica, sasa hivi ni mzungu, vurugu tupuuu

Hahaha.
Aiseeeee
Kali yake
 
Nani Alimbaga Ule Wimbo Wa Babkubwa?
 
Watu kumbe watoto sana humu ndo maana JF inakuwa tamu sana, 2008 sasa si ten yrs ago? kumbe basi wengi humu nyerere wanamuonaga kwenye picha tu, Sasa sokoine ndo watakuuliza ndo nani huyo.
 
Wema akiwa bado ni MTU, maana sasa hivi haeleweki, Leo shape kama mpiraaa, kesho kama andazi, kesho kutwa kama nanasi, yaan fujo tupuuu.

Anti akiwa bado na rangi nzuriiiiiii ya kiafrica, sasa hivi ni mzungu, vurugu tupuuu
Hatari.
 
Kila zama zilikua na mambo yake, wakati huo wewe unasoma na ku-reminisce hayo mambo, wenzako tulikua tayari tunapambana na maisha
na kipindi hiki wakati mi napambana na maisha kuna wengine wanasoma na wana dream kubwa sana kama nizokuwa nazo mimi kipindi hicho but kwenye uhalisia ndo unajua ndoto za shuleni tofauti na za mtaani
 
Hilo lilikuwa jarida langu pendwa, kwani sikuhiz halipo?
 
Yaani hata kesho ikipigwa watu lazima wanyanyue mikono,wacheze
Planet 2000 watoto wa Iringa wale....hii ni bab kubwa sema bab kubwa.....bab kubwaa
halafu hawakutoaga hit song tena
 
Kaka bora sisi wa katikati tumesogea soge,kuna wajukuu zenu humu
Watu kumbe watoto sana humu ndo maana JF inakuwa tamu sana, 2008 sasa si ten yrs ago? kumbe basi wengi humu nyerere wanamuonaga kwenye picha tu, Sasa sokoine ndo watakuuliza ndo nani huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…