Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kipindi hicho collage boy Second year 2008,nina bonge moja la Afro,hakuna wasap hakuna instagram simu za touch zilikuwa za kichina zina peni yake...ujanja ilikuwa kuban Cd Mp3,au kununua Album,blog zilikuwa djfetty,djchoka etc...Ze utam ndo ilikuwa inabamba saanaaa...
Basi bwana ilikuwa ukitaka habari na mastori ya town inabidi ucheki na Jarida la Bab Kubwa kwa sh 1000 tu....mnakumbuka hili jarida?
Basi bwana ilikuwa ukitaka habari na mastori ya town inabidi ucheki na Jarida la Bab Kubwa kwa sh 1000 tu....mnakumbuka hili jarida?