Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Na hawa ndio watoto wa mawaziri wetu, Imagine anamjibu polisi "na wewe unataka" yaan anamuuliza polisi kama na yeye anataka kuitwa
Hatupotezi kitu mkuu, muda wakati utafika tu..... tutakapoanza kufunga mtoto na baba yake kifungo cha maishaDah. Kweli watu mna mafaili.. hakika mnajua kutunza Risiti Hapo masjala😎😎😅
Na hawa ndio watoto wa mawaziri wetu, Imagine anamjibu polisi "na wewe unataka" yaan anamuuliza polisi kama na yeye anataka kuitwa msenge
View attachment 3503287