Tujikumbushe kidogo - Museveni: Kwanini tuuane kwasababu ya madaraka ambayo mtu anabadilishwa kila baada ya muda mfupi?

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Viongozi wa Afrika mtindiko wao wa ubongo ni ule ule wa madaraka ya kulevya,

Kaguka kipindi iko anaongea kwanini tuuane kuhusu madaraka ambayo mtu anabadilishwa kila baada ya muda fupi na wakati sasa hivi yeye hataki kutoka madarakani na anaua/anakamata yeyote anayejaribu kumchallenge kweli madaraka hayana tofuati na madaya ya kulevya ukiwa nje unaona wenwako wanashida na wewe hauwezi kupatwa na shida hiyo alafu leo baada ya kupatwa na kuanza kukulevya hata huamini kama ni yule yule kaguta museveni

Your browser is not able to display this video.
 
Watu weusi si binadamu sie tupo kundi moja na akina chalamila, tunaamini matumbo yetu kwanza kuliko vitu vingine
 
Ukitaka kujua sisi ni sokwe kaishi nao nchi yenye wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…