Tujikumbushe kidogo Rivers utd Vs Wyad AC

Oooh mnapasuka hapo hapo kwa Mkapa. Mara oooh kama Raja aliwapiga na yeye ni mnyonge kwa Wydad, Jumamosi lazima mfe.Sasa naona mmekuja na gia nyingine tena.

Usiongee sana kuhusu sisi ukasahau kesho una game na Mito United . Mto wa maji utakuzamisha kesho, na hivi hujui kuogelea!
 
[emoji3][emoji3]

Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua.

Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game mmebadiri gia angani kwa kudai Wydad huwa hatilii maanani game za away.

Mnazingua sana, ifikie stage mkubali TU kuwa Mnyama Yuko vizuri.

Acha tusubili hiyo game mnayoisemea.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wiki ijayo sio mbari .marehemu ana mdomo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…