Tujikumbushe: Mwaka 2008 Wasabato Masalia walitinga Airport Dar wakitaka kwenda ng'ambo wakaeneze injili bila kuwa na documents yoyote kama visa, passport, tiketi nk πππ
Hawa ndio walikaa kwenye maua pale nje kwenye ile bustani karibu Na lami inayokunja pale kuingia uwanja wa ndefu kutokea kipawa? Au hili tukio nalosemea lilitangulia ,maana kumbukumbu zangu zinaniambia tukio lilifanya kabla ya 2008