TUJIKUMBUSHE: Kifo cha Rais wa Malawi wahaini sita usiku wa manane" The Midnight Six" na Njama za kutaka kumpora Urithi wa Urais Joyce Banda

😀 😀 😀 😀 😀
 
Hatari
 
Aisee...nimewaza kijasusi kwa makini sana. Mama samia usijali tunakuombea na hakuna mshenzi yoyote atajaribu kufanya ushenzi katika nchi hii haswa kuvuruga katiba
 
Nimekuelewa mkuu but Dar kuna mtu atakaepachikwa kuwa VP itabidi mama awe nae makini Sana maana ni mtu wa genge
 
kwa mazingira ya kwetu ya kutangaza kifo cha mh mama kawaacha mbali wengi sana, maana ukiangalia vizuri tangazo kalitoa bila wakuu wa vyombo na ulinzi na usalama kuwepo, na pia amelitoleo nje ya mjii mkuu dodoma/dar
Seems walimficha ila wenye nia njema wakamtonya ndio maana katangaza akiwa Tanga Ili kuwazima na pia ile kukosea kutangaza siku 14 za maombolezo alikuwa hajasoma sheria ya viongozi .

Amshukuru aliyemtonya watu wa genge bado wanasuka mbinu.

Mara kumpangia ziara mara nini Ili tuu wapuuzi wa buy time,Dunia ina mambo na madaraka sio mchezo
 
UMEJIFUNZA NINI KUTOKANA NA KISA HIKI?
WHY POVU?
 
Ndio lengo. Yeye mwenyewe angekuwa poyoyo kama aaingeelewa mambo haya. Ni mzoefu kwenye system sidhani kama angapuzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…