Wakati Mh Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani, alituambia imefika wakati wakujenga chama Cha siasa imara kwa matakwa ya mda tulio nao tuache kutegemema jeshi la Polisi kutufanyia siasa .
Ajabu ni kwamba jambo lile lilichukuliwa km maneno tuu, ila ukweli Mchungu sana kwa sisi wana CCM jeshi la polisi limesababisha damage kubwa kwa CCM Ambayo huwezi kuirekebisha tena .
Polisi imetuhalibia sana chama chetu na inaendelea kutengeneza damage kubwa ni nani anaona hili ndani ya CCM , anaebisha afanye naye tafiti zake, asilimia kubwa ya watanzania bila kujali vyama vyao wanasema bila police hakuna CCM km huo ndio mtazamo ni wakati wa ccm lazima tuchague kutoka hapa tulipo au tuzame pamoja na untrustworthy partner wetu .