Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi.
Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba ujumbe unaofika mpaka leo.
Kuna kipindi fulani masoud alitoa kumuhusu huyu bashe na kumbuka kipindi kile bashe alikuwa wa moto sana mpaka kutoa mawazo ya kufikisha mbali nchi. Ila ndio hiyo ukishapewa utamu wa kufikisha nchi tu, leo kabeba ufisadi ambao bungeni umewaka moto na swala la sukari.