Tujikumbushe mabeki hodari waliochezea timu zetu Tanzania miaka ya 90

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Kostantine Kimanda, Yanga

Banza Tshkala, Yanga

George Magere Masatu, Simba

Hussein Masha, Simba

Meck Mexime, Mtibwa

John Mwansasu, Yanga

Kenneth Mkapa, Yanga

Anwari Awadh, Yanga

Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga

Saidi Mwamba Kizota, Yanga

Mzee Abdalah, Yanga
 
Baba Dimo - Abajalo...
the late Don Master - Shekilango FC
 
List ya Yanga iliyochukua kombe la klabu Bingwa africa mashariki na kati nchini Uganda mwaka 1993.
1. Nemes Stephen/ Rifat Said
2. David Mwakalibela/Kiwelu
3. Keneth Mkapa
4. Gidwin Aswile
5. Nimemsahau
6.
7. Sure Boy
8. Stephen Musa
9. Said Mwamba Kizota
10. Mohammed Hussein
12. Edibily Lunyamila

Watangazaji walikuwa Omari Jongo na fundi mitambo lando mabula. Ngoma imewekwa kati, uwanja wa Naambole National Stadium now Mandela..
 
Abdalah mkali-Reli
Mohamedi mtono-Reli
Godwin Aswile- Yanga
Willy martin-Yanga
 
mimi ni mpenzi wa simba laKINI SITOWEZA KUUSAHAU UKUTA WA BERLIN WA MIAKA ILE AMBAO NI

1. HAMISI KINYE
2. YUSUFU ISMAIL BANA
3. AHMED HAMASHA
4. ATHUMANI JUMA CHAMA
5. ALAN SHOMARI

SIMBA TULIPATA TAAABU SANA KUIPENYA NGOME HII MADHUBUTI YA YANGA.
 
1.Salum Kabunda 'Ninja'
2.Frank Kasanga 'Bwalya'
3.Twaha Hamidu 'Noriega'
4.Willy Martin 'Gari kubwa'
 
1.Raphael Poul
2.Twaha Hamidu
3.Thobias Nkoma
4.Deo Njohore
5.Ken Mkapa.
 
Shabani Baraza SIMBA
Daudi Salim SIMBA
Kajole SIMBA
Marshed Seif TPC
Muokoto KAHE
Okoth KAHE/TPC
 

Wewe Umeambiwa Utaje Beki Bora Wa Enzi Hizo Unatuletea Upuuzi Wako Huu Wa Kututajia Kikosi Cha MAPOPOMA Wenzio Yanga. Umeniboa!
 
1.Salum Kabunda 'Ninja'
2.Frank Kasanga 'Bwalya'
3.Twaha Hamidu 'Noriega'
4.Willy Martin 'Gari kubwa'

Namba 2,3 Na 4 Ndiyo Waliokuwa Mabeki Wakali Na Huyo Aliyebaki Alikuwa Ni POPOMA Tu.
 
Baba Dimo - Abajalo...
the late Don Master - Shekilango FC

Don Master alifariki lini?
Nakumbuka timu yao ya akina Mbengo, Ghetto boy, Allen Kaliza, Nyimi, Ngao, Mwansasu, Haji, Aggrey, Mwanza, Ingi(Kipaso), Kamsabwedo,Nice guy, Njila, Zola, Kajumulo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…