Tujikumbushe mabeki hodari waliochezea timu zetu Tanzania miaka ya 90

Tujikumbushe mabeki hodari waliochezea timu zetu Tanzania miaka ya 90

Don Master alifariki lini?
Nakumbuka timu yao ya akina Mbengo, Ghetto boy, Allen Kaliza, Nyimi, Ngao, Mwansasu, Haji, Aggrey, Mwanza, Ingi(Kipaso), Kamsabwedo,Nice guy, Njila, Zola, Kajumulo,


mwezi uliopita aliaga Dunia na hata 40 yake bado.
jeneza lake lilifikishwa katika uwanja wa shekilango uliopo nyuma ya Ubungo plaza na hata lilipokuwa linashushwa taratiibu kwenye nyumba yake ya milele ktk makaburi ya Sinza basi jeneza hilo liliambatana na jezi namba 5 mgongoni ambayo alikuwa akiivaa katika utumishi wake uwanjani.

so sad...
 
Asee...jamaa tumemzika mwezi uliopita nadhani


yap yap yap...
na maandamano makubwa ya wasindikizaji waliotembea kwa miguu yalikatiza katikati ya barabara ya Shekilango mpaka katika makaburi ya Sinza kunda kumpumzisha kipenzi cha kila rika Manfred Malius maarufu kama Don Master mkoba for sure
 
yap yap yap...
na maandamano makubwa ya wasindikizaji waliotembea kwa miguu yalikatiza katikati ya barabara ya Shekilango mpaka katika makaburi ya Sinza kunda kumpumzisha kipenzi cha kila rika Manfred Malius maarufu kama Don Master mkoba for sure

Kaka mkubwa nilikua kuwepo siku zote za msiba hadi mazishi..tukarudi tena msibani story nyingi hadi nite kubwa...alikua kaka wa mshikaji wangu anaishi mikocheni...kitasa cha ukweli..yeye na john mwansasu..R.I.P brother Don Master
 
List ya Yanga iliyochukua kombe la klabu Bingwa africa mashariki na kati nchini Uganda mwaka 1993.
1. Nemes Stephen/ Rifat Said
2. David Mwakalibela/Kiwelu
3. Keneth Mkapa
4. Gidwin Aswile
5. Nimemsahau
6.
7. Sure Boy
8. Stephen Musa
9. Said Mwamba Kizota
10. Mohammed Hussein
12. Edibily Lunyamila

Watangazaji walikuwa Omari Jongo na fundi mitambo lando mabula. Ngoma imewekwa kati, uwanja wa Naambole National Stadium now Mandela..

Kuna mtu aliitwa Paul John Masanja
 
Willy Martin a.k.a Gari Kubwa

Kama sitakuwa nakosea,Nickname ya ''Gari kubwa'' ilikuwa ni ya/aliitwa Marehemu Peter Lipotekela,huyo Willy Martin nadhani aliitwa Willy Martin ''Mtendawema''.
 
Kostantine Kimanda, Yanga

Banza Tshkala, Yanga

George Magere Masatu, Simba

Hussein Masha, Simba

Meck Mexime, Mtibwa

John Mwansasu, Yanga

Kenneth Mkapa, Yanga

Anwari Awadh, Yanga

Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga

Saidi Mwamba Kizota, Yanga

Mzee Abdalah, Yanga

timu zingine je?
 
Kostantine Kimanda, Yanga

Banza Tshkala, Yanga

George Magere Masatu, Simba

Hussein Masha, Simba

Meck Mexime, Mtibwa

John Mwansasu, Yanga

Kenneth Mkapa, Yanga

Anwari Awadh, Yanga

Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga

Saidi Mwamba Kizota, Yanga

Mzee Abdalah, Yanga
Hussein Masha hakua beki Mkuu,
Alikua kiungo cha kati mbele au kati nyuma.
 
Alikuwa anacheza kiungo na wakati mwingine beki wakati ni kama ilivyokuwa kwa marehemu Issa Athuman, Shaban Ramadhan au Ally Mayai
 
Kostantine Kimanda, Yanga

Banza Tshkala, Yanga

George Magere Masatu, Simba

Hussein Masha, Simba

Meck Mexime, Mtibwa

John Mwansasu, Yanga

Kenneth Mkapa, Yanga

Anwari Awadh, Yanga

Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga

Saidi Mwamba Kizota, Yanga

Mzee Abdalah, Yanga
masatu na kizota sikuwashuhudia kuwaona live ila nilikua nasikia tambwe zao kupitia matangazo ya moja kw moja kwa njia ya redio ya mzee wangu. wapi jamani mtangazaji aliyekua na mbwembwe ezekiel marongo!!!
 
masatu na kizota sikuwashuhudia kuwaona live ila nilikua nasikia tambwe zao kupitia matangazo ya moja kw moja kwa njia ya redio ya mzee wangu. wapi jamani mtangazaji aliyekua na mbwembwe ezekiel marongo!!!
Alishafariki siku nyingi tuu,na Uzi wake upo humu jamvini
 
Kostantine Kimanda, Yanga
Banza Tshkala, Yanga
George Magere Masatu, Simba
Hussein Masha, Simba
Meck Mexime, Mtibwa
John Mwansasu, Yanga
Kenneth Mkapa, Yanga
Anwari Awadh, Yanga
Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga
Saidi Mwamba Kizota, Yanga
Mzee Abdalah, Yanga

Nadir Cannavaro, Bakari Malima,Shadrack Nsajigwa
 
Back
Top Bottom