Wewe Umeambiwa Utaje Beki Bora Wa Enzi Hizo Unatuletea Upuuzi Wako Huu Wa Kututajia Kikosi Cha MAPOPOMA Wenzio Yanga. Umeniboa!
Don Master alifariki lini?
Nakumbuka timu yao ya akina Mbengo, Ghetto boy, Allen Kaliza, Nyimi, Ngao, Mwansasu, Haji, Aggrey, Mwanza, Ingi(Kipaso), Kamsabwedo,Nice guy, Njila, Zola, Kajumulo,
Asee...jamaa tumemzika mwezi uliopita nadhani
yap yap yap...
na maandamano makubwa ya wasindikizaji waliotembea kwa miguu yalikatiza katikati ya barabara ya Shekilango mpaka katika makaburi ya Sinza kunda kumpumzisha kipenzi cha kila rika Manfred Malius maarufu kama Don Master mkoba for sure
List ya Yanga iliyochukua kombe la klabu Bingwa africa mashariki na kati nchini Uganda mwaka 1993.
1. Nemes Stephen/ Rifat Said
2. David Mwakalibela/Kiwelu
3. Keneth Mkapa
4. Gidwin Aswile
5. Nimemsahau
6.
7. Sure Boy
8. Stephen Musa
9. Said Mwamba Kizota
10. Mohammed Hussein
12. Edibily Lunyamila
Watangazaji walikuwa Omari Jongo na fundi mitambo lando mabula. Ngoma imewekwa kati, uwanja wa Naambole National Stadium now Mandela..
Willy Martin a.k.a Gari Kubwa
Kuna mtu aliitwa Paul John Masanja
Kostantine Kimanda, Yanga
Banza Tshkala, Yanga
George Magere Masatu, Simba
Hussein Masha, Simba
Meck Mexime, Mtibwa
John Mwansasu, Yanga
Kenneth Mkapa, Yanga
Anwari Awadh, Yanga
Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga
Saidi Mwamba Kizota, Yanga
Mzee Abdalah, Yanga
timu zingine je?
Kama sitakuwa nakosea,Nickname ya ''Gari kubwa'' ilikuwa ni ya/aliitwa Marehemu Peter Lipotekela,huyo Willy Martin nadhani aliitwa Willy Martin ''Mtendawema''.
aliitwa Peter Lupokela...
Hussein Masha hakua beki Mkuu,Kostantine Kimanda, Yanga
Banza Tshkala, Yanga
George Magere Masatu, Simba
Hussein Masha, Simba
Meck Mexime, Mtibwa
John Mwansasu, Yanga
Kenneth Mkapa, Yanga
Anwari Awadh, Yanga
Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga
Saidi Mwamba Kizota, Yanga
Mzee Abdalah, Yanga
masatu na kizota sikuwashuhudia kuwaona live ila nilikua nasikia tambwe zao kupitia matangazo ya moja kw moja kwa njia ya redio ya mzee wangu. wapi jamani mtangazaji aliyekua na mbwembwe ezekiel marongo!!!Kostantine Kimanda, Yanga
Banza Tshkala, Yanga
George Magere Masatu, Simba
Hussein Masha, Simba
Meck Mexime, Mtibwa
John Mwansasu, Yanga
Kenneth Mkapa, Yanga
Anwari Awadh, Yanga
Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga
Saidi Mwamba Kizota, Yanga
Mzee Abdalah, Yanga
Alishafariki siku nyingi tuu,na Uzi wake upo humu jamvinimasatu na kizota sikuwashuhudia kuwaona live ila nilikua nasikia tambwe zao kupitia matangazo ya moja kw moja kwa njia ya redio ya mzee wangu. wapi jamani mtangazaji aliyekua na mbwembwe ezekiel marongo!!!
Nasikia alizidisha tungi ndiyo sababu ya ku ripAlishafariki siku nyingi tuu,na Uzi wake upo humu jamvini
Kostantine Kimanda, Yanga
Banza Tshkala, Yanga
George Magere Masatu, Simba
Hussein Masha, Simba
Meck Mexime, Mtibwa
John Mwansasu, Yanga
Kenneth Mkapa, Yanga
Anwari Awadh, Yanga
Silvatus Ibrahim ''Polisi'', Yanga
Saidi Mwamba Kizota, Yanga
Mzee Abdalah, Yanga