Tujikumbushe maisha ya chuo wadau

Kuna ile akili inakufanya unaona kama mabro kitaaa wanazingua hawapo aggressive kusaka pesa dadeq maliza sasa unajikuta unakua mpole tu
Kuna siku nimekaa mahali nikamsikia dogo mmoja anaongea kuhusu uzembe wa mabroo nilicheka sana, nikatulia nilikua na jamaa yangu akanigusa akaniuliza tumsanue au tuache muda utamsanua, nikamwambia tumpotezee.
 
Nilikuwa naishi chumba namba 412 floor ya saba hall two. Wakati huo lift ilikuwa mbovu ni kupanda kwa ngazi! Nikapeleka manzi room kwangu kachoka kinoma kupanda ngazi sikutumia nguvu mana tayari ule uchovu wa ngazi ulimuweka sawa!
 
Kuna siku nimekaa mahali nikamsikia dogo mmoja anaongea kuhusu uzembe wa mabroo nilicheka sana, nikatulia nilikua na jamaa yangu akanigusa akaniuliza tumsanue au tuache muda utamsanua, nikamwambia tumpotezee.
Huyo unamwacha kwanza siku anatoka chuo hana hata nauli ndo anakuja kuelewa... dharau inaanzaga pale umepata course flan za 1.7, 1.8 au 1.9 advance 🤣 unaanza kuwaambia watu uzuri wa hii course unaajiriwa popote bwana weeee mtiti unaanza kupata field tu
 
Utoto raha sana unakuwa na expectations kuuuubwa mno ila uhalisia unakuambia we mbwa tutakuua 😂
 
maisha ni popote ni kheri uliamua kuwa na raha maisha ya chuo kuliko wengine waliamua wajikaze ili wapate ma gpa makubwa alafu kazi hakuna dhiki mara mbili chuo na kitaa.
 
kitambo sana ila chuo niliishi maisha ya ajabu na sitokaa ni regret

First year nilianza kama mtawa vile sem ya kwanza

Sem ya pili ilikua kitanda changu usiku weekend hakina mtu

Tuliingia viwanja vya kila eneo
Watu hadi wakipiga deals wanahama mkoa
😂😂😂
Mpaka leo ile circle nikiikumbuka nawatafuta mmoja mmoja

Cha kushangaza wengi walivomaliza hawakufocus na ajira
Nahisi walijua tu kukimbizana na boss huku unapenda uhuru haitowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…