Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Ball Juggler....Majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani.
"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella.
"Sikinde" - Celestine Mbunga.
"Kizota" - Said Mwamba.
"Kwasakwasa" - Jobe Ayubu.
"Bwalya" - Frank Kassanga.
"Loketo" - Ally Malilo.
"Gazza" - George Lucas.
"Father" - Iddi Pazi.
"Sure Boy" - Abubakar Salum.
"Power Iranda" - Willy Martin.
"OCD" - Deo Njohole.
"Tekelo" - Abeid Mziba.
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Careca" - Razak Yusuph.
"MP" - David Mwakalebela.
"Edo Boy" - Edward Chumila.
"Scud" - Said Sued.
"Tostao" - Mohamed Yaya.
"Tall" - Mohamed Bakari.
"Gagarino" - Hamis Gaga.
"Bruce Lee" - Daudi Salum.
"Ninja" - Salum Kabunda.
"Mkulima" - Rashid Mandanje.
"Meya" - Iddi Suleiman.
"Boban" - Haruna Moshi.
"Nylon" - Michael Paul.
"Gari Kubwa" - Peter Lupokela.
"ZigZag" - John Makelele.
"Ball Juggler" - Malota Soma.
"Beki Mstaarabu" - Samli Ayubu.
"Mmachinga " - Mohamed Hussein.
"Road Master" - Itutu Kiggy.
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma.
"Tostao" - Mohamed Yahaya.
"Sungura" - Abbas Dilunga.
"Popat" - Kitwana Manara.
"Machela" - Mohamed Kajole.
"Chama" - Rashid Iddi.
"Wikens" - Boi Iddi.
"Jogoo" - Athuman Chama
"Fongo" - Edgar Mwafongo.
"Mensah" - Juma Pondamali.
"Polisi" - Silvatus Ibrahim.
"Kiminyio" - Madaraka Selemani.
"Bolizozo" - James Tungaraza.
"Kidishi" - Juma Bakari.
"RP" - Raphael Paul.
"Fundi" - Method Mogella.
"Tingisha" - Sanifu Lazaro.
"Scania" - Godwin Aswile.
"Msingida" - Rajab Rashidi.
"Musso" - Yusuph Macho.
"Noriega au Nyigu" - Twaha Hamidu.
"Jenerali" - Juma Mkambi.
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima.
"Zico wa Kilosa" - Said Mrisho.
"Computer" - Sunday Manara.
"Dalii Kimoko" - Mwanamtwa Kihwelo.
"Uncle Tom" - Thomas Kipese.
"Carlos" - Salum Mwinyimkuu.
"Nyoka Mweusi" - Elias Michael.
"Tigana" - Ally Yusuph.
"Best" - George Kulagwa.
"Golota" - Joseph Kaniki.
"Mnyamwezi" - Iddi Moshi.
"Tembele" - Ally Mayai.
"SMG" - Said Maulid.
"Shilton" - Mahmoud Nyalusi.
"Ball Dancer" - Mao Mkami.
"Romario" - Maalim Saleh.
"Jujuman" - Ezekiel Grayson.
"Nyumba" - Victor Costa.
"Garrincha" - Steven Mapunda.
"Keegan"- Omari Hussein.
"Chukwu" - Isihaka Hassan.
"Fuso" - Shadrack Nsajigwa.
"Kakoko" - Juma Burhani.
"Mashine"- Abdul Ramadhan
"Rungu"- Nteze John
"Napil"- Abou Yasin
"Road Master"- Itutu Kigi
"Mtekele"- Justine Nicodemus
"China"- Athuman Abdalah
"Kocha-Mchezaji"- Hassan Afif
Best maridadi- Venance mwakalukwa
Kwa wale tulioanza kufuatilia soka miaka mingi iliyopita karibu utukumbushe majina ya wengine ambao nimewasahau.
Je mchezaji yupi unamkumbuka vema na ulikuwa ukimkubali kwa kiwango chake??
Rungu
...
....