Tujikumbushe majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani

Tujikumbushe majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani

....Majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani.

"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella.
"Sikinde" - Celestine Mbunga.
"Kizota" - Said Mwamba.
"Kwasakwasa" - Jobe Ayubu.
"Bwalya" - Frank Kassanga.
"Loketo" - Ally Malilo.
"Gazza" - George Lucas.
"Father" - Iddi Pazi.
"Sure Boy" - Abubakar Salum.
"Power Iranda" - Willy Martin.
"OCD" - Deo Njohole.
"Tekelo" - Abeid Mziba.
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Careca" - Razak Yusuph.
"MP" - David Mwakalebela.
"Edo Boy" - Edward Chumila.
"Scud" - Said Sued.
"Tostao" - Mohamed Yaya.
"Tall" - Mohamed Bakari.
"Gagarino" - Hamis Gaga.
"Bruce Lee" - Daudi Salum.
"Ninja" - Salum Kabunda.
"Mkulima" - Rashid Mandanje.
"Meya" - Iddi Suleiman.
"Boban" - Haruna Moshi.
"Nylon" - Michael Paul.
"Gari Kubwa" - Peter Lupokela.
"ZigZag" - John Makelele.
"Ball Juggler" - Malota Soma.
"Beki Mstaarabu" - Samli Ayubu.
"Mmachinga " - Mohamed Hussein.
"Road Master" - Itutu Kiggy.
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma.
"Tostao" - Mohamed Yahaya.
"Sungura" - Abbas Dilunga.
"Popat" - Kitwana Manara.
"Machela" - Mohamed Kajole.
"Chama" - Rashid Iddi.
"Wikens" - Boi Iddi.
"Jogoo" - Athuman Chama
"Fongo" - Edgar Mwafongo.
"Mensah" - Juma Pondamali.
"Polisi" - Silvatus Ibrahim.
"Kiminyio" - Madaraka Selemani.
"Bolizozo" - James Tungaraza.
"Kidishi" - Juma Bakari.
"RP" - Raphael Paul.
"Fundi" - Method Mogella.
"Tingisha" - Sanifu Lazaro.
"Scania" - Godwin Aswile.
"Msingida" - Rajab Rashidi.
"Musso" - Yusuph Macho.
"Noriega au Nyigu" - Twaha Hamidu.
"Jenerali" - Juma Mkambi.
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima.
"Zico wa Kilosa" - Said Mrisho.
"Computer" - Sunday Manara.
"Dalii Kimoko" - Mwanamtwa Kihwelo.
"Uncle Tom" - Thomas Kipese.
"Carlos" - Salum Mwinyimkuu.
"Nyoka Mweusi" - Elias Michael.
"Tigana" - Ally Yusuph.
"Best" - George Kulagwa.
"Golota" - Joseph Kaniki.
"Mnyamwezi" - Iddi Moshi.
"Tembele" - Ally Mayai.
"SMG" - Said Maulid.
"Shilton" - Mahmoud Nyalusi.
"Ball Dancer" - Mao Mkami.
"Romario" - Maalim Saleh.
"Jujuman" - Ezekiel Grayson.
"Nyumba" - Victor Costa.
"Garrincha" - Steven Mapunda.
"Keegan"- Omari Hussein.
"Chukwu" - Isihaka Hassan.
"Fuso" - Shadrack Nsajigwa.
"Kakoko" - Juma Burhani.
"Mashine"- Abdul Ramadhan
"Rungu"- Nteze John
"Napil"- Abou Yasin
"Road Master"- Itutu Kigi
"Mtekele"- Justine Nicodemus
"China"- Athuman Abdalah
"Kocha-Mchezaji"- Hassan Afif
Best maridadi- Venance mwakalukwa

Kwa wale tulioanza kufuatilia soka miaka mingi iliyopita karibu utukumbushe majina ya wengine ambao nimewasahau.

Je mchezaji yupi unamkumbuka vema na ulikuwa ukimkubali kwa kiwango chake??
Ball Juggler
Rungu
...
....
 
Steven Mapunda jamaa alikua hazeeki ni kama "uncle" NGASA......
....Majina maarufu ya utani ya baadhi ya wachezaji wa zamani.

"Golden Boy" - Zamoyoni Mogella.
"Sikinde" - Celestine Mbunga.
"Kizota" - Said Mwamba.
"Kwasakwasa" - Jobe Ayubu.
"Bwalya" - Frank Kassanga.
"Loketo" - Ally Malilo.
"Gazza" - George Lucas.
"Father" - Iddi Pazi.
"Sure Boy" - Abubakar Salum.
"Power Iranda" - Willy Martin.
"OCD" - Deo Njohole.
"Tekelo" - Abeid Mziba.
"Tanzania One"- Mohamed Mwameja
"Careca" - Razak Yusuph.
"MP" - David Mwakalebela.
"Edo Boy" - Edward Chumila.
"Scud" - Said Sued.
"Tostao" - Mohamed Yaya.
"Tall" - Mohamed Bakari.
"Gagarino" - Hamis Gaga.
"Bruce Lee" - Daudi Salum.
"Ninja" - Salum Kabunda.
"Mkulima" - Rashid Mandanje.
"Meya" - Iddi Suleiman.
"Boban" - Haruna Moshi.
"Nylon" - Michael Paul.
"Gari Kubwa" - Peter Lupokela.
"ZigZag" - John Makelele.
"Ball Juggler" - Malota Soma.
"Beki Mstaarabu" - Samli Ayubu.
"Mmachinga " - Mohamed Hussein.
"Road Master" - Itutu Kiggy.
"Homa ya Jiji" - Makumbi Juma.
"Tostao" - Mohamed Yahaya.
"Sungura" - Abbas Dilunga.
"Popat" - Kitwana Manara.
"Machela" - Mohamed Kajole.
"Chama" - Rashid Iddi.
"Wikens" - Boi Iddi.
"Jogoo" - Athuman Chama
"Fongo" - Edgar Mwafongo.
"Mensah" - Juma Pondamali.
"Polisi" - Silvatus Ibrahim.
"Kiminyio" - Madaraka Selemani.
"Bolizozo" - James Tungaraza.
"Kidishi" - Juma Bakari.
"RP" - Raphael Paul.
"Fundi" - Method Mogella.
"Tingisha" - Sanifu Lazaro.
"Scania" - Godwin Aswile.
"Msingida" - Rajab Rashidi.
"Musso" - Yusuph Macho.
"Noriega au Nyigu" - Twaha Hamidu.
"Jenerali" - Juma Mkambi.
"Jembe Ulaya" - Bakari Malima.
"Zico wa Kilosa" - Said Mrisho.
"Computer" - Sunday Manara.
"Dalii Kimoko" - Mwanamtwa Kihwelo.
"Uncle Tom" - Thomas Kipese.
"Carlos" - Salum Mwinyimkuu.
"Nyoka Mweusi" - Elias Michael.
"Tigana" - Ally Yusuph.
"Best" - George Kulagwa.
"Golota" - Joseph Kaniki.
"Mnyamwezi" - Iddi Moshi.
"Tembele" - Ally Mayai.
"SMG" - Said Maulid.
"Shilton" - Mahmoud Nyalusi.
"Ball Dancer" - Mao Mkami.
"Romario" - Maalim Saleh.
"Jujuman" - Ezekiel Grayson.
"Nyumba" - Victor Costa.
"Garrincha" - Steven Mapunda.
"Keegan"- Omari Hussein.
"Chukwu" - Isihaka Hassan.
"Fuso" - Shadrack Nsajigwa.
"Kakoko" - Juma Burhani.
"Mashine"- Abdul Ramadhan
"Rungu"- Nteze John
"Napil"- Abou Yasin
"Road Master"- Itutu Kigi
"Mtekele"- Justine Nicodemus
"China"- Athuman Abdalah
"Kocha-Mchezaji"- Hassan Afif
Best maridadi- Venance mwakalukwa

Kwa wale tulioanza kufuatilia soka miaka mingi iliyopita karibu utukumbushe majina ya wengine ambao nimewasahau.

Je mchezaji yupi unamkumbuka vema na ulikuwa ukimkubali kwa kiwango chake??
 
" Bana" - Yusuph Ismail

" Minziro" - Fredy Felix aka Baba Isaya
Juma Amir- Pele wa Mwanza
Said Mrisho - zicco wa kilosa
Ramadhan leny - Abega
Samli Ayubu - Beki mstaarabu
Juma Mkambi - General
Charles Mkwasa - Master
Fred Minziro - Baba Isaya
Ezekiel Greyson - Jujuman
Roster Ndunguru - Toto tundu
 
Kitambo sana
Juma Amir- Pele wa Mwanza
Said Mrisho - zicco wa kilosa
Ramadhan leny - Abega
Samli Ayubu - Beki mstaarabu
Juma Mkambi - General
Charles Mkwasa - Master
Fred Minziro - Baba Isaya
Ezekiel Greyson - Jujuman
Roster Ndunguru - Toto tundu
 
Majina yake halisi ni GEORGE MAGERE! Hiyo MASATU (aina ya samaki wa victoria) ndio aka yake ambayo na yenyewe sio ya kimpira!

Pale kota za "relwe" Mwanza, babake alikiwa guru wa kuvua samaki "Masatu" Na alikuwa mtu mwema kiasi anagawa samaki hadi kwa majirani!

Basi majirani wakambatiza "Mzee Masatu" Na hatimaye jina likaenda kwa mtoto pia!
Hivi George Masatu hakuwa na A.K.A...!!
 
Hebu naomba ufafanuzi wa hila zangu kisha niambie niombe radhi kwa lipi... Muaibishe shetani fanya hivyo sasa
safi sana mkuu umenikumbusha wakati nchi ina heshima na adabu,ona sasa watoto hawa wa Face book hawana hata staha ,eti mtu anapost watu wengi humu wanamdharau..but kwa utafiti gani na nani kampa usemaji wa members humu ?,mkuu comments kama hizi usipoteze muda wako kuzijibia,wengi wao ni wanajifanya ni middle class walioenea kimaisha kisa wanauwezo wa kuweka kipande cha mkate mezani !!!.
 
Juma limonga stop engine
Ali malilo kidudu mtu
Iddi Suleiman kibode (keyboard )
Iddi Suleiman nyigu
Jimmy mored "moo"
 
safi sana mkuu umenikumbusha wakati nchi ina heshima na adabu,ona sasa watoto hawa wa Face book hawana hata staha ,eti mtu anapost watu wengi humu wanamdharau..but kwa utafiti gani na nani kampa usemaji wa members humu ?,mkuu comments kama hizi usipoteze muda wako kuzijibia,wengi wao ni wanajifanya ni middle class walioenea kimaisha kisa wanauwezo wa kuweka kipande cha mkate mezani !!!.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
.
IMG-20191021-WA0142.jpeg
 
Back
Top Bottom