Hilo Sangoma FC ndio asili yao,maana kila match ya Kimataifa lazima wamtoe kafara kiongozi wao mmoja. Match ya Nkana waliomtoa kafara yule wa Keko match ya Waarabu Koko walimtoa kafara wa Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau Wamatopeni...Kwa kuwa mi ni mnazi wa Yanga nitayataja ya Simba tu wengine mtayataja ya Yanga.
1. Mnyama fc
2. Mikia fc.
3. Mbumbumbu fc
4. Sangoma fc ( Nasikia hii timu ilianzishwa na mganga wa kienyeji)
5. Madela fc
6. Underdog fc
7. Malalamiko Fc
8. Mezani fc
9. Fifa fc.
10.....