Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Kiukweli walimu huwa wanakuwa na majina mengi ya utani, sijui kama wao huwa wanapata wasaa wa kuyasikia..
Nakumbuka Primary tulikuwa na Mwalimu mlemavu wa mguu, tukawa tunamuita Kapisto
Sekondari kuna Mwalimu wa History tulimuita Osei Tutu, kuna mwingine wa Wa kiingereza alikuwa anapenda kutamka you see...mwisho wa siku likawa jina lake
A level kulikuwa na Mwalimu anakunywa sana pombe na kuvuta mafegi, hakukosa jiba tukamuita MABANGE
Chuo kuna mwalimu alitufundisha Business Maths, huyu jina maarufu alilopata ni CHI-Square....maana kila akiingia ni habaria za chi square..
Vipi wewe unawakumbuka walimu kwa majina gani ya utani!??