Tujikumbushe majina ya utani ya walimu wetu...

Tujikumbushe majina ya utani ya walimu wetu...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Kiukweli walimu huwa wanakuwa na majina mengi ya utani, sijui kama wao huwa wanapata wasaa wa kuyasikia..

Nakumbuka Primary tulikuwa na Mwalimu mlemavu wa mguu, tukawa tunamuita Kapisto

Sekondari kuna Mwalimu wa History tulimuita Osei Tutu, kuna mwingine wa Wa kiingereza alikuwa anapenda kutamka you see...mwisho wa siku likawa jina lake

A level kulikuwa na Mwalimu anakunywa sana pombe na kuvuta mafegi, hakukosa jiba tukamuita MABANGE

Chuo kuna mwalimu alitufundisha Business Maths, huyu jina maarufu alilopata ni CHI-Square....maana kila akiingia ni habaria za chi square..

Vipi wewe unawakumbuka walimu kwa majina gani ya utani!??
 
Namkumbuka ticha wa chemistry o'level.
Tulikuwa tunamuita GREEN. nilijaribu kufatilia asili nikakosa.
 
Kuna Mwalimu mmoja wa Uraia Sec alikuwa anapendelea kuingilia mambo yasimhusu,na kutoa matamko ya kipuuz tukamuita MKURUPUKO,mwingine alikuwa anatembea kama amebanwa haja kibwa tukamuita KIUNO
 
Kuna Mwalimu mmoja wa Uraia Sec alikuwa anapendelea kuingilia mambo yasimhusu,na kutoa matamko ya kipuuz tukamuita MKURUPUKO,mwingine alikuwa anatembea kama amebanwa haja kibwa tukamuita KIUNO
Ha ha eti KIUNO
 
Kuna mwalimu mmoja alikuwa na kitambi tulimwita KIFRIZA
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji3][emoji3]
 
Headmaster Chaga boy,mkupi(Okonko),Mpangwa(Chui jangwa)
 
Sisi primary kuna ticha alikua ana kiuno kimebinukaa... Tukamwita KIBINDA KOI
o'level head master tulimwita madigree coz ya uvaaji wake
mwingine tulimwita pu**mb coz alikua mfupii..
 
Sisi primary kuna ticha alikua ana kiuno kimebinukaa... Tukamwita KIBINDA KOI
o'level head master tulimwita madigree coz ya uvaaji wake
mwingine tulimwita pu**mb coz alikua mfupii..
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom