Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani



Ole Saitabau (Arumeru)

Richard P Koillah (Ngorongoro) R.I.P
 

Tulibaka Tulibonya
 
Steven Wasira, Getrude Mongela, John Malecela, Mwigulu Nchemba, Anna Makinda, Job Ndugai na Mustapha Mkulo
 
kibabu wilbroad slaa,mtaalam wa wake zetu,aliwah kuwa mbunge wa karatu miaka ya nyuma.yeye na kapuya ngoma droo!
 
Edward Lowasa

Hakuna mbunge aliyekuwa anajua kutoa hoja kama Lowasa alipokuwa bado kijana
 
kibabu wilbroad slaa,mtaalam wa wake zetu,aliwah kuwa mbunge wa karatu miaka ya nyuma.yeye na kapuya ngoma droo!

Una matatizo gani hata mkeo akawa changudoa kiasi hicho? You need to consult a doctor. Labda umepata kisukari.
 
pascal degera-kondoa
supa-----kondoa
Kusenha------Dodoma mjini
kusila------bahi
malecela----mtera
 
Kuna mbunge wa mufindi alikuwa anaitwa kibuga, huyu aliwekwa korokoroni na nyerere kwa sababu alitaka mtindo wa uchaguzi ubadilishwe badala ya kuweka mtu na kivuli iwe mtu na mtu
 
kuna wale walifukuzwa bungeni miaka ya 60 kwa kubisha hoja za serikali waziwazi.. Nimewasahau ila walikuwa argumentative mbaya sana! Marxism wa ukweli. Mwenye kukumbuka majina awataje tafadhali!
 
KASYUPA LUMULI ALIPIPI - KYELA , ALIWAHI KUWA waziri mdogo wa kilimo ( nowdays mnaita NAIBU ) , ENzi za nyerere mtu kama David Mathayo , Adam Malima , Emmanuel Nchimbi , Ngeleja au Masha wasingeweza kuwa hata makatibu kata !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…