Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Alikuwa Mzanzibari huyu jamaa...Farouk ramadhani.
nyakati hizo ndio kwanza nipo elementary school nilikuwa nalisikia jina la huyo mwanadamu, baadae alikwenda moro united ndipo juma kaseja akasajiliwa simba kama nitakuwa nipo sahihi.
moro united ilikuwa inaongozwa na tajiri fulani anaitwa merey balhabou
Rekodi zako ziko vizuri mkuu, big up1 Ivo mapunda
2 Mengi Matunda
3 Noel Joel pompi
4 Mohamed Said Nduda
5 Benjamin Haule
6Deogratius Munis
7 Shaban.Dihile
8 Shaban Kado
9 Andrew Ntalla
10 Hussen Sharif
Etc
Mtoa mada aweke rekodi sawaumemkosea heshima ivo mapunda....Ivo mapunda ameanza kucheza ligi kuu mwaka 1997 akiwa na Tukuyu stars kabla hajatimkia Tanzania prisons wakati kaseja ameanza kucheza ligi kuu mwaka 2000 kwa hio kwenye carrier ya soka kaseja amemkuta ivo mapunda uwanjani
Amani SimbaAnayemjua amtaje jinaView attachment 1203603
Hakuna kipa pale , niliwaambiaga wana simba yule dogo ni sufuri , wakampaga msimu mmoja adake ,aisee simba walichezea vichapo , wakampelekaga singida, sijui alipotelea wapikuna yule junior wa simba ambae baba yake alicheza yanga
Hakuna kipa pale , niliwaambiaga wana simba yule dogo ni sufuri , wakampaga msimu mmoja adake ,aisee simba walichezea vichapo , wakampelekaga singida, sijui alipotelea wapi
Manyika Peter, yupo kenya saivi sikumbuki klabu ganijina nani?
Manyika Jrjina nani?
Anatembelea nyota ya mzee wakeHakuna kipa pale , niliwaambiaga wana simba yule dogo ni sufuri , wakampaga msimu mmoja adake ,aisee simba walichezea vichapo , wakampelekaga singida, sijui alipotelea wapi