Tujikumbushe Makipa Waliopita Katika Miaka 19 ya Juma Kaseja Katika Soka La Bongo

Tujikumbushe Makipa Waliopita Katika Miaka 19 ya Juma Kaseja Katika Soka La Bongo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Sasa ni takribani miaka 19, toka Juma Kaseja aanze kucheza soka la Bongo haswa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Katika kipindi hiko Juma Kaseja, kuna magolikipa waliibuka, wakatamba kisha wakapotea ila Kaseja yeye yupo tu.

Hebu leo tuwakumbuke baadhi ya magolikipa hao waliomkuta Kaseja halafu wakaja kupotea ilhali Kaseja yupo tu.

Mimi naanza na Ivo Mapunda.
 
Anayemjua amtaje jina
images.jpg
 
umemkosea heshima ivo mapunda....Ivo mapunda ameanza kucheza ligi kuu mwaka 1997 akiwa na Tukuyu stars kabla hajatimkia Tanzania prisons wakati kaseja ameanza kucheza ligi kuu mwaka 2000 kwa hio kwenye carrier ya soka kaseja amemkuta ivo mapunda uwanjani
 
Hakuna kipa pale , niliwaambiaga wana simba yule dogo ni sufuri , wakampaga msimu mmoja adake ,aisee simba walichezea vichapo , wakampelekaga singida, sijui alipotelea wapi
Anatembelea nyota ya mzee wake
 
Calvin Mhagama alikuwa kipa namba mbili pale simba pembeni ya Kaseja ila sijui sasa hivi yupo wapi.

Timu yetu ya mtaani miaka ile ya 2003 kuna jamaa alikuwa anakaa bench nafasi ya goli kipa nikiwepo hivyo walimbatiza jina LA Calvin Mhagama Mimi wakaniita Kaseja.

Sasa hivi nina miaka 12 sijacheza mpira.
 
Back
Top Bottom