Tujikumbushe mambo hatari tunayopaswa kujiepusha nayo hasa ukiwa hapa nchini Tanzania

Tujikumbushe mambo hatari tunayopaswa kujiepusha nayo hasa ukiwa hapa nchini Tanzania

Tujiepushe na ccm ndio wahusika wakupoteza watu,wasio taka kuuliza au kuambiwa ukweli
 
Wakuu nimeona leo tukumbushane mambo hatari ya kukwepa hasa unapokuwa ndani ya nchi tukufu Tanzania.

1. Kujihusisha kimapenzi na mke/mume wa mtu.
2. Kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari).
3. Kumpa mimba mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari)
4. Kujihusisha na biashara yoyote haramu hasa ile ya uuzaji wa madawa ya kulevya.
5. Wizi wa aina yoyote.
6. Kukutwa na nyara za serikali.

Ongezea mengine.
Amina
 
Epuka kumwonyesha jambo la maendeleo co worker or coligues wako,kuvunja jicho la husda ni kazi sana,kuzuia ulozi utatumia nguvu nyingi ambazo ungezitumia kufanya jambo linguine,asikuambie mtuuuu watu Wana wivuuu wa kipumbavu kabisaaaaa.Anakusagia kunguni wakali kuliko wale wa Paris,alafu anakuchekeaa....Mungu Ni Mkuu na Ndio Mchungaji Mwema.Amen.
IMG-20231008-WA0011.jpg
 
9. KATAA GONO, KATAA KASWENDE, KATAA NGOMA, JIUNGE CHAPUTA NOW
Wewe jomba umeshakuwa BRAND kali sana kwenye suala la Chaputa. Yaani kwa dunia ya sasa kama umeshaamua kufanya upuuzi ufanye kwa viwango vya juu 😄😄
 
Back
Top Bottom