Tujikumbushe maneno ambayo huzuka na kupotea baada ya muda (Misimu) .

Tujikumbushe maneno ambayo huzuka na kupotea baada ya muda (Misimu) .

Mimi naanza na haya --- Sipendagi ujinga😎😎😎😎

--- Hainaga ushemeji🙁🙁🙁🙁

----Haijawahi kumwacha mtu salama😀😀😀

-----Muhenga😵😵

----- Pambana na hali yako🙂🙂

Nawewe ongezea maneno mengine ambayo unayakumbuka
Acha ubashite.
 
Back
Top Bottom