Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Jana bondia Anthony Joshua alichapwa katika pambano la ndondi ambalo halikupata uzito mkubwa kutokana na fainali ya UCL.
Leo hebu tujikumbushie mapambano ya ngumi yaliyotamba miaka ya nyuma. Miaka ile tunaamka alfajiri kuangalia masumbwi. Miaka akina Tyson na wenzake wakitamba.
Pambano lipi lilikuvutia mpaka leo bado lipo akilini mwako?