Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Katika sakata lao chanzo/sababu ni baada ya Kiba kumtafunia Mondi dada yake (Queen Darlin) na baadae kumtafunia Demu wake Wema Sepetu (Mama huruma)Kiba na Mondi hii debate yao haiishagi miaka nenda miaka rudi!
hata mchattle mwenzako anajua ww wa wapnipo chattle
Daaah, hii inauma sana kwakweli hata mimi nisingekubaliKatika sakata lao chanzo/sababu ni baada ya Kiba kumtafunia Mondi dada yake (Queen Darlin) na baadae kumtafunia Demu wake Wema Sepetu (Mama huruma)
KWANI HAO JAMAA BIFU LAO LILIANZIAGA WAPI MBONA SIWAELEWIKiba na Mondi hii debate yao haiishagi miaka nenda miaka rudi!
Lakini kasema tujikumbushebifu lishaisha muda unakaa dunia ipi
Km sio kimbunga[emoji3]Afande sele na yule manywele mwenzake sijui nan yule anatembeaga peku Mzee fulan mchaf mchaf
Zay b nilimuona tabata kinyerez kwa kaka yakeZey B and Sister P
Sijui wapo wapi sasa hivi.
Duh, wewe ni muhenga ulikuwepo enzi zile [emoji23]hawa walipatanishwa na Frank Mtao wa kipindi cha Nani Ni Nani channel Ten
Ivi Frank Mtao yupo wapi?hawa walipatanishwa na Frank Mtao wa kipindi cha Nani Ni Nani channel Ten