Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Katika sakata lao chanzo/sababu ni baada ya Kiba kumtafunia Mondi dada yake (Queen Darlin) na baadae kumtafunia Demu wake Wema Sepetu (Mama huruma)Kiba na Mondi hii debate yao haiishagi miaka nenda miaka rudi!