Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu acha kujichetua na kujaza Server za JF, Yaaani Simba kukosa Ubingwa ni sawa na Ngamia apenye tundu la Sindano.katika hizo mechi ni ipi ambayo kadi nyekundu si sahihi ilitolewa kwa lengo la kuibeba yanga na eleza ilikuwaje kuonekana si sahihi na penalt ipi ya kubebwa? mikia fc mmeshajua litimu lenu linakosa ubingwa mnaanza kuweweseka
kwa vigezo vipi vya kuifanya mikia fc haiwezi kosa ubingwa?Mkuuu acha kujichetua na kujaza Server za JF, Yaaani Simba kukosa Ubingwa ni sawa na Ngamia apenye tundu la Sindano.
Kuna kadi alipewa Mkude ambayo ilipelekea mashabiki kuvunja viti uwanjani baadae TFF wakafuta adhabu aliyopewa Mkudekatika hizo mechi ni ipi ambayo kadi nyekundu si sahihi ilitolewa kwa lengo la kuibeba yanga na eleza ilikuwaje kuonekana si sahihi na penalt ipi ya kubebwa? mikia fc mmeshajua litimu lenu linakosa ubingwa mnaanza kuweweseka
hiyo kadi ilizaa penalt? na kabla ya hiyo kadi game lilisoma ngapi ngapi na baada ya hiyo kadi matokeo yalikuwa vipi?Kuna kadi alipewa Mkude ambayo ilipelekea mashabiki kuvunja viti uwanjani baadae TFF wakafuta adhabu aliyopewa Mkude
Ila mwisho wa msimu ukweli utajulikana. Binafsi naamini hakuna timu ya kuizuia Yanga kuchukua Ubingwa msimu huu. Atakaye jitokeza mbele yetu, ni kipigo tu. Hakuna kucheka tena na kima msimu huu.Wanabodi anzeni kuhesabu Point za Kubebwa kwa Penati mkianza na Ile ya NAMUNGO then hii ya BIASHARA juzi.
Point 4 za Magumashi tayari kibindoni wasije dhani tumelala. Yule mwamuzi wao dhidi ya Namungo kapigwa ban ya miezi 3 ili arudi tena kuwapa Vya bure
Kama walivosema malipo ni hapa hapa duniani, nao wanalipwa.Ila mwisho wa msimu ukweli utajulikana. Binafsi naamini hakuna timu ya kuizuia Yanga kuchukua Ubingwa msimu huu. Atakaye jitokeza mbele yetu, ni kipigo tu. Hakuna kucheka tena na kima msimu huu.
Nimefurahi kuona kwa sasa mmegeuka kuwa Yanga ya 2019! Kutwa ni kulia lia tu. Mara tunabebwa na waamuzi! Mara oooh! Baadhi ya timu zinahongwa ili kuwakamia!! nk.
Mawazo ya kijima.UBINGWA WA YANGA MSIMU WA MWAKA 2016/17 KADI NYEKUNDU TISA KWA WAPINZANI WA YANGA NA PENALTY TISA KWA YANGA
SIMBA Vs YANGA KADI NYEKUNDU #JUUKO MECHI YA PILI KADI NYEKUNDU KWA #ABDI BANDA 🇲🇦
YANGA Vs MWADUI KADI NYEKUDU🇲🇦
YANGA Vs MBEYA CITY KADI NYEKUNDU🇲🇦
YANGA Vs COASTAL UNION KADI NYUKUNDU 🇲🇦
YANGA Vs KAGERA SUGAR FC KADI NYEKUNDU 🇲🇦
YANGA Vs TANZANIA PRISON KADI NYEKUNDU 🇲🇦
YANGA Vs MTIBWA SUGAR FC KADI NYEKUNDU 🇲🇦
YANGA Vs SINGIDA FC KADI NYEKUNDU 🇲🇦
YANGA Vs MAJI MAJI YA SONGEA KADI NYEKUNDU 🇲🇦
Mechi zoote hizo mlipewa Penati ili mpate point 3×9=27 muhimu na Ubingwa mkapewa. Halafu bado Wanayanga mnasema Simba anabebwa leo 2019, kuweni na aibu wakati mwingine malipo ni hapa hapa Duniani.