Tujikumbushe mboga zetu za asili: Naanza mimi na wewe taja za kwenu.

Tujikumbushe mboga zetu za asili: Naanza mimi na wewe taja za kwenu.

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
765
Reaction score
194
Wilayani kwetu (Mbarali-Mbeya) tuna kula mboga za majani zenye majina yafuatayo:

1.Nyanganji
2.Nyaheji
3.Nyundurwa
4.Fwiwi
5.Nyamabomba
6.Nyakunde
7.Nyalande.
8.Nyamadela.
9.Magulumelu
10.Nyasandwa
 
Kyuuumbwe
Kitalooloo
Nyan...sio nyani
Fisoia
Nduuya
......
 
Nankoko Bwado.
Ntimbamwisi.
Nikhutu naahano.
Ikhowa.
Ntimini.
Mawaru.
Nkuukurye.
Bondera/Nnonji

Wale wa maeneo ya Masasi,Mtwara na Lindi karibu tule mboga zetu.
 
Back
Top Bottom