Tujikumbushe mboga zetu za asili: Naanza mimi na wewe taja za kwenu.

Tujikumbushe mboga zetu za asili: Naanza mimi na wewe taja za kwenu.

hahaha nilizowahi kula mchunga, mlenda, msusa, kisanvu, mkalifya, lilende, majani ya kunde, majani ya njegere, majani ya maharage, mkunungu, bamia, mchicha, nyanya chungu, kabeji, ..........
 
kwetu kyela tunakulaga
Ilipusya
Ikisambula
Imbange
Inguniani
Kabhiki
Marankoma
Ubhusipa
Nkokwa
Inandala
Indima
kwa mtu wa kyela na Rungwe atakuwa anazifaham mboga hizo
 
Mnafu
Kisamvu
Malopa
MÀra ha isidi
Mara ha mboma
Rou


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wilayani kwetu (Mbarali-Mbeya) tuna kula mboga za majani zenye majina yafuatayo:

1.Nyanganji
2.Nyaheji
3.Nyundurwa
4.Fwiwi
5.Nyamabomba
6.Nyakunde
7.Nyalande.
8.Nyamadela.
9.Magulumelu
10.Nyasandwa

Nya dundwe
Mtosi
Nyapula
Ngayeva
Nyamdzha
Wikulwe
Wilelema
Luhavi lwa mangogo
Fima fya ng'uku
Fimswilya
Fibeva
Lubumabuma
Kaa nye mtange isingi ndisemilwe
 
Wahehe watwambie mbwa anaitwaje akiwa kitoweo. Singida watwambie punda, wamkonde fungo, wapemba popo
 
kwetu kyela tunakulaga
Ilipusya
Ikisambula
Imbange
Inguniani
Kabhiki
Marankoma
Ubhusipa
Nkokwa
Inandala
Indima
kwa mtu wa kyela na Rungwe atakuwa anazifaham mboga hizo

Ongezea
Ilyombo
Ilyanyungu
 
Lidelele
ngowani
pitiku
chikandi
mfusulelu
msaada please walongo wangu snowhite, Kipipi, moto2012, Mzee tupatupa .......

Dada samahani nilikuwa Field kwa kazi
Naanza na mboga za majani
1. Libonongo
2. Lineke
3. Kimbepesu
4. Mangau kau
5.Luhonyo

Vitoweo
1. Mawungu
2. Makulu kulu
3. Mbeleweta
4. Hopa/Hopi
5. Mageke
6. Ngumbi
7. Likungu

vipi dada niendelee??? Manake naweza jaza ukurasa
 
Dada samahani nilikuwa Field kwa kazi
Naanza na mboga za majani
1. Libonongo
2. Lineke
3. Kimbepesu
4. Mangau kau
5.Luhonyo

Vitoweo
1. Mawungu
2. Makulu kulu
3. Mbeleweta
4. Hopa/Hopi
5. Mageke
6. Ngumbi
7. Likungu

vipi dada niendelee??? Manake naweza jaza ukurasa
du! kweli kabisa kaka hapa nimenyoosha mikono juu, lol!
 
Back
Top Bottom