dedam
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 845
- 166
nsansa..
Mchicha pori...
songa na ndalu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nsansa..
Mchicha pori...
nyamidela
mkunungu
mkalifya
kihana
nyalulenga
Nyahalage!?Nyakatoliki?...wewe si mwongo ila umeongea maneno ya uwongo.lunopo
nyahalage
sanyandwa
delega
nyakatoliki
Uyoga unaitwa ulelema, namgujulu mboga ya manyonyoli, ukichanganya na sabola(pilipili) dah ugali hata uwe debe unakwenda
Wilayani kwetu (Mbarali-Mbeya) tuna kula mboga za majani zenye majina yafuatayo:
1.Nyanganji
2.Nyaheji
3.Nyundurwa
4.Fwiwi
5.Nyamabomba
6.Nyakunde
7.Nyalande.
8.Nyamadela.
9.Magulumelu
10.Nyasandwa
kwetu kyela tunakulaga
Ilipusya
Ikisambula
Imbange
Inguniani
Kabhiki
Marankoma
Ubhusipa
Nkokwa
Inandala
Indima
kwa mtu wa kyela na Rungwe atakuwa anazifaham mboga hizo
du! kweli kabisa kaka hapa nimenyoosha mikono juu, lol!Dada samahani nilikuwa Field kwa kazi
Naanza na mboga za majani
1. Libonongo
2. Lineke
3. Kimbepesu
4. Mangau kau
5.Luhonyo
Vitoweo
1. Mawungu
2. Makulu kulu
3. Mbeleweta
4. Hopa/Hopi
5. Mageke
6. Ngumbi
7. Likungu
vipi dada niendelee??? Manake naweza jaza ukurasa