Tujikumbushe misemo inayozuka na kupotea

Tujikumbushe misemo inayozuka na kupotea

Kishkwambi.
Bombadia.
Imoooooooooo.
Ulipo tupo.
Safari ya Matumaini.
M4C.
Zungurushaa.
Tori Ndindindiiiiii.
 
Habari kwenu

ningependa tujikumbushe baadhi ya misemo iliyopata umaarufu hivi karibuni na kupotea

mfano msemo wa sipendagi ujinga mimi
watapata tabu sana
mambo ni???? motooooo kila kitu balaa

ebu weka msemo unaoukumbuka uliobamba sana
Fanya yakooo,rafiki wa faida,Mungu anakuona,kasheshe,shega,utalijua jiji,ujanja kuwahukumu,ujanja kupata na mburula na kibamiaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Danga chee, No sweat, ofcourse toy , cherioo ma men !
 
Back
Top Bottom