Tujikumbushe misukosuko ya kitaifa, EPA, RICHMOND, DOWANS, ESCOW, NET GROUP, BUZWAGI

Tujikumbushe misukosuko ya kitaifa, EPA, RICHMOND, DOWANS, ESCOW, NET GROUP, BUZWAGI

mwanamichakato

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
1,188
Reaction score
1,090
Natamani tujikumbushe baadhi ya matukio yenye ukakasi yaliowahi kutikisa umma wa watanzania na kupelekea serikali kutikisika huko nyumba..

Tanzania ingeweza kuwa mbali sana kiuchumi ikiwa uzalendo wa dhati ungetamalaki ktk michakato ya mambo muhimu Kwa maendeleo ya nchi yetu..

EPA-Uchotwaji wa mabilioni toka BOT

RICHMOND-Zabuni Za uzalishaji wa umeme wa dharula kugubikwa na songobingo la tuhuma Za ufisadi..

Tegeta Escrow :Uchotwaji wa mabilioni toka BOT .Za umma au sio Za umma..

Mgao wa taifa..Majaji,Maaskofu,Watumishi Waandamizi,Mawaziri,

Sijui lini tutapata majina ya waliopata mgao kupitia STANBIC Bank..

Net Group Solutions:Kandarasi ya usimamizi wa Shirika la Umeme la Tanesco..

Natamani kukumbuka ya TRL,TTCL,Alex Stewart na mengineo..

Huku kijijini na huu umeme wa REA haya
 
Back
Top Bottom