Tujikumbushe moja ya matukio ya kusisimua World Cup 1998

Tujikumbushe moja ya matukio ya kusisimua World Cup 1998

Na mimi nilitaka kuzungumzia hili hili goli jamaa alipiga mpira toka katikati na kitu kikaitika da ilikua balaaa siku ile sitakuja kusahau
Jamani jamani kutoka katikati acheni basi uongo duuuh
 
Hoja kubwa siyo nguvu ya mashuti ila namna lile shuti la Roberto Carlos lilivyopinda na kuingia golini.
Mahaba tu. Hilo shoot alilopiga Carlos halifikii lile alilopiga Sunday Oliseh dhidi ya Spain. Japo mazingira ni tofauti.
Sunday Oliseh alitandika mpira uliokuwa rebound sisi tunaita lose ball, karibu mita 35. Mkwaju wa maana. Mkwaju uliowapa Nigeria ushindi wa 3-2.

Mwenye uwezo wa kuattach anaweza kuweka hapa tukalinganisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanikumbusha machungu us Nigeria kutolewa na Denmark halafu Okocha alipohojiwa akamwambia mwandishi wa habari take easy this is football. Hapo sijala 2days, toka hapo nikaapa sitokuwa mnazi tena wa Soccer kiasi kile
Wewe ni mnigeria unaeishi Tz sio..???

~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Back
Top Bottom