Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Jamani jamani kutoka katikati acheni basi uongo duuuhNa mimi nilitaka kuzungumzia hili hili goli jamaa alipiga mpira toka katikati na kitu kikaitika da ilikua balaaa siku ile sitakuja kusahau
Yaaani watu ni waongo kushinda KALAMAGANDA KARUDI duuuuu....
Kutoka katikati ya nini ulimaanisha?
Mahaba tu. Hilo shoot alilopiga Carlos halifikii lile alilopiga Sunday Oliseh dhidi ya Spain. Japo mazingira ni tofauti.
Sunday Oliseh alitandika mpira uliokuwa rebound sisi tunaita lose ball, karibu mita 35. Mkwaju wa maana. Mkwaju uliowapa Nigeria ushindi wa 3-2.
Mwenye uwezo wa kuattach anaweza kuweka hapa tukalinganisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahah kabisaaa
katikati ya masabuli
Kutoka katikati ya nini ulimaanisha?
Mzee wa tashwishwi na kubagazaYaaani watu ni waongo kushinda KALAMAGANDA KARUDI duuuuu....
Aiseee!Duh, kwa jinsi ambavyo huwa unatetea CCM huku ukikandia watu wanaonyanyaswa na serikali nilijua utakuwa ule umri wa miaka 45+.
Inaonekana umeanza uchawi ukiwa mdogo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ko kajileta mwenyewePunguza roho mbaya.
Wewe ni mnigeria unaeishi Tz sio..???Unanikumbusha machungu us Nigeria kutolewa na Denmark halafu Okocha alipohojiwa akamwambia mwandishi wa habari take easy this is football. Hapo sijala 2days, toka hapo nikaapa sitokuwa mnazi tena wa Soccer kiasi kile
Hahahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh, kwa jinsi ambavyo huwa unatetea CCM huku ukikandia watu wanaonyanyaswa na serikali nilijua utakuwa ule umri wa miaka 45+.
Inaonekana umeanza uchawi ukiwa mdogo sana.
Hapana Mustafa Hadji alikua ni Mmorocco
mbongo halisi kiongoziWewe ni mnigeria unaeishi Tz sio..???
~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
Daaaaa,,,,Ortega anampiga kichwa van de sir zen anaonyeshwa red card.mechi ya robo finali kati ya Holland na Argetina 2-1
ulipigwa mpira wa hatari jasa goli la dk 90 denis berkhamp
Huyu fundi achana nae kabisa Dennis Bergkampmechi ya robo finali kati ya Holland na Argetina 2-1
ulipigwa mpira wa hatari jasa goli la dk 90 denis berkhamp