Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Jini kabula Ni miaka ya 2000 mkuu.Kuch kuch ho tahe, kahana pyari he, Jan dush man, komando kipensi, jini kabula, seba
Ngoja wadau waje tukumbushane mkuuHii yangu sio ya miaka hiyo
Nimesahau jina anayejua naomba anikumbushe
Inahusu kamari starring ni kim goni
Ndio kwangu ni zaman San hiyoJini kabula Ni miaka ya 2000 mkuu.
Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko ili tuangalie Movie lazima ukakate nyasi za ngo'mbe unaangalia picha moja. Morogoro mjini Kuna sehemu palikuwa panaitwa Shani Cenema Yaani sio mchezo. Kumbuka movie Kama Lotha, Andha kanun, Bruce Lee, Ngoswe. Yaani japo ilikuwa shida ila tulienjoy. Wewe unakumbuka wapi?
Maza mmoja wa kihindi huko sokomatola ndo alikua nayo.wakati nikiwa Mbeya Kuna
Mkuu we noma haujakosea aisee [emoji122][emoji122]Movie nyingi zilikuwa zina majina mbadala [emoji23]
Jackie chan mmasai
Kipanya msosi ya jackie chan
Anodi ya jini
Anodi ya jeni
Ze hadi wei mniga analiwa na mamba
Komando kipensi
War bus
Dame na alex
Van dame wawili
Lino renzi
Matias kisima cha mamba(no retreat no surrender)