Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko ili tuangalie Movie lazima ukakate nyasi za ngo'mbe unaangalia picha moja. Morogoro mjini Kuna sehemu palikuwa panaitwa Shani Cenema Yaani sio mchezo. Kumbuka movie Kama Lotha, Andha kanun, Bruce Lee, Ngoswe. Yaani japo ilikuwa shida ila tulienjoy. Wewe unakumbuka wapi?
 
Movie nyingi zilikuwa zina majina mbadala 😂

Jackie chan mmasai
Kipanya msosi ya jackie chan
Anodi ya jini
Anodi ya jeni
Ze hadi wei mniga analiwa na mamba
Komando kipensi
War bus
Dame na alex
Van dame wawili
Lino renzi
Matias kisima cha mamba(no retreat no surrender)
 
Hii yangu sio ya miaka hiyo
Nimesahau jina anayejua naomba anikumbushe
Inahusu kamari starring ni kim goni
 
kuna dude moja lnaitwa DELTA FORCE kacheza chuk norris mule kuna zile pikipiki zinatoa risasi na mabomu basi kuona mwamba anavozichapa bakora mule dah nikatamani hadi kuwa mjeda nikijua ntazpga sana fimbo dah kumbe hata hazipo.
 
Majuzi nimerudia kuangalia HEAT (1995) ni moja ya filamu yangu pendwa ya 90's.
Al Pacino na De Niro walitendea haki hii kazi.
 
-Snake in the eagles' shadow
Jakisheni na bambucha
-Terimeribaniyan
Jakishirovu na motii
-Hatya
Yayaa
-Commando solo
-Deadly prey
Komando kipensi
-Karan arjuni
Mapacha walokufa na kuzaliwa
-Shaolin soccer
-Taichi
-Anaconda
-Bruce lee na chekinoriz
-Rambo
-Blood sport vandame na boloyani
-predator anodi na jini
-Only strong makidagasko a.ka. Paranawe
-Red scorpion Dofu na bushimeni
N.k

Hapo nikiwa sehemu moja inaitwa kanyara huko sengerema, miaka hiyo ukumbi wa mashikolo. Dj Babu, Dj Mbwa haruki, ma Dj wengine walofuata baadae kina Dj Sos B, Dj Mado, Dj Elly yaan ilkuwa balaaa.
 
Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko ili tuangalie Movie lazima ukakate nyasi za ngo'mbe unaangalia picha moja. Morogoro mjini Kuna sehemu palikuwa panaitwa Shani Cenema Yaani sio mchezo. Kumbuka movie Kama Lotha, Andha kanun, Bruce Lee, Ngoswe. Yaani japo ilikuwa shida ila tulienjoy. Wewe unakumbuka wapi?

Mnigger kaliwa na mamba (No retreat No surrender)
 
The God must be crazy, alafu na Kuna Ile mchina kakuta wajomba wakitega nyoka kwakutumia miguu aisee, nilikua nikiinjoy sana
 
wakati nikiwa Mbeya Kuna
Maza mmoja wa kihindi huko sokomatola ndo alikua nayo.
Sasa kutoka Nzovwe uende huko kwa mguu,kiingilio ilikua dala tu sh 5.tu,
Mtu unapiga mguu masaa kwenda na kurudi ukamwangalie mithun chakraboth😅😅😅
 
Movie nyingi zilikuwa zina majina mbadala [emoji23]

Jackie chan mmasai
Kipanya msosi ya jackie chan
Anodi ya jini
Anodi ya jeni
Ze hadi wei mniga analiwa na mamba
Komando kipensi
War bus
Dame na alex
Van dame wawili
Lino renzi
Matias kisima cha mamba(no retreat no surrender)
Mkuu we noma haujakosea aisee [emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom