Tujikumbushe msimamo na kura ya Othman Masoud Othman ktk Bunge Maalum la Katiba

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..msimamo wa Othman Masoud ulianzia ndani ya kamati ya uandishi ktk bunge la katiba.

..Othman Masoud anadai alikataa kuburuzwa na Andrew Chenge hivyo akaamua kutokuendelea kuwa ktk kamati hiyo.

..Kwa hiyo Othman Masoud alikuja kutokea bungeni siku ya kupiga kura kama mnavyomshuhudia hapo chini.

Tukubali na kuheshimu 'consistence' yake katika kusimamia jambo hata kama hatukubaliani naye.

Viongozi wa namna hiyo ni wachache sana katika nchi hii kwa sasa.

Ina maana huyu jamaa hana unafiki kama tunavyoona kila kiongozi anavyofanya, hata huyu aliyekalia kiti cha juu kabisa sasa hivi.

Hao wa CCM waliofanya kila kitu kumfanya abadili msimamo wake ndio watu dhaifu zaidi ya Othman Masoud Othman.

Kwa upande huo ninampa hongera zake.
 
Masoud Othman Masoud is a great guy. Namkubali kwa misimamo yake kuhusu huu muungano Magumashi.

Masudi haongozwi na njaa, anaongozwa na akili.
 
Huyo Othmam Masud ana misimamo isiyoyumba. Mimi hupenda sana viongozi wa aina hii.
 
Huenda huyu ndio mwanasiasa ambaye si mnafiki, wangekuwa wale wengine tayari wangebadili msimamo wao wasikose cheo
 
Tukubali na kuheshimu 'consistence' yake katika kusimamia jambo hata kama hatukubaliani naye.

Viongozi wa namna hiyo ni wachache sana katika nchi hii kwa sasa.

Ina maana huyu jamaa hana unafiki kama tunavyoona kila kiongozi anavyofanya, hata huyu aliyekalia kiti cha juu kabisa sasa hivi.

Hao wa CCM waliofanya kila kitu kumfanya abadili msimamo wake ndio watu dhaifu zaidi ya Othman Masoud Othman.

Kwa upande huo ninampa hongera zake.
Pascal Mayala hawapendi watu wa aina hii, anawapenda vibaraka wa CCM.
 
Exactly.

Na ataendelea kuilinda heshima yake kama atabaki na msimamo wake, ila siku atakapobadilika tu, hapo ndio itakuwa kwisha habari yake.
 
Pascal Mayala hawapendi watu wa aina hii, anawapenda vibaraka wa CCM.
Huyo uliyemwandika hapo ni mfano mzuri sana wa watu wasiokuwa na msimamo. Tokea mwanzo kabisa huyo nilimpachika jina la 'POPO', kwa maana kwamba siyo ndege na wala siyo mnyama.

Katika watu wa hovyo kabisa humu JF, huyo jamaa nampa namba moja, na nilishaacha kusoma takataka zake anazojaza humu siku nyingi sana.

Lakini nirudi kwa huyo Othman, pamoja na kuheshimu msimamo wake, sipendi anayoyasimamia.
 
Back
Top Bottom