hahahaaaaa . . . nacheka hukuMasoud Othman Masoud is a great guy. Namkubali kwa misimamo yake kuhusu huu muungano Magumashi.
Masudi haongozwi na njaa, anaongozwa na akili.
Pascal Mayala hawapendi watu wa aina hii, anawapenda vibaraka wa CCM.Tukubali na kuheshimu 'consistence' yake katika kusimamia jambo hata kama hatukubaliani naye.
Viongozi wa namna hiyo ni wachache sana katika nchi hii kwa sasa.
Ina maana huyu jamaa hana unafiki kama tunavyoona kila kiongozi anavyofanya, hata huyu aliyekalia kiti cha juu kabisa sasa hivi.
Hao wa CCM waliofanya kila kitu kumfanya abadili msimamo wake ndio watu dhaifu zaidi ya Othman Masoud Othman.
Kwa upande huo ninampa hongera zake.
Exactly.Tukubali na kuheshimu 'consistence' yake katika kusimamia jambo hata kama hatukubaliani naye.
Viongozi wa namna hiyo ni wachache sana katika nchi hii kwa sasa.
Ina maana huyu jamaa hana unafiki kama tunavyoona kila kiongozi anavyofanya, hata huyu aliyekalia kiti cha juu kabisa sasa hivi.
Hao wa CCM waliofanya kila kitu kumfanya abadili msimamo wake ndio watu dhaifu zaidi ya Othman Masoud Othman.
Kwa upande huo ninampa hongera zake.
Huyo uliyemwandika hapo ni mfano mzuri sana wa watu wasiokuwa na msimamo. Tokea mwanzo kabisa huyo nilimpachika jina la 'POPO', kwa maana kwamba siyo ndege na wala siyo mnyama.Pascal Mayala hawapendi watu wa aina hii, anawapenda vibaraka wa CCM.