Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

Pole sana ndugu
 
Hii ajali ilirudisha nyuma maendeleo ya mkoa wa kagera, wafanyabiashara wengi waliokuwa wanaushikilia uchumi walikuwemo ndani ya meli wakielekea Mwanza kununua bidhaa za madukani na wengine wakisafiri kw a shughuli nyingine za kiuchumi.
 
Hii siku mama angu mzazi aliokoka baada ya kuambiwa meli imejaa so aje cku nyingine mpk inazama mzee alijua mama yupo kwny hii meli sema alikuja kufariki katka mazingira tofauti rest in peace mama
Pole, apumzike kwa amani mama
 
Nimewahi kufanya safari na hii meli mara kadhaa siku za hapo nyuma, Ukweli hii meli ilikuwa si chakavu, Mimi ni mvuvi wa siku nyingi sana, moja ya mambo ambayo avitakiwi ukiwa ziwani ni vitendo vyovyote vya kufanya ngono majini, binafsi ktk safari ndani ya meli hiyo nikiwa ninasafiri nimeshuhudia mara kadhaa abiria wakitenda matendo hayo! Majini huwa kuna majini awapendi huo uchafu, Pia mbali ya idadi kubwa ya watu siku ya tukio la kuzama hiyo meli, Abiria kuelekea upande mmoja nayo ni moja ya sababu ya kutokea maafa siku ile ya tukio la MV Bukoba,pamoja na kwamba siku ile ya tukio hali ya ziwa ilikuwa shwali.
 
Vitendo vya ngono majini? Labda ni mambo ya kiimani hayo ila kisayansi inakuwa na sababu zake
 
Mkuu kwan ilianza kuzama kwa muda gani? Mpaka ikawa full kuzama? Maana mpaka watu wanaoza inaonekana ilikaa kwenye maji kwa muda mrefu au ilikuaje kuaje hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…