Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

Hatari, nasikia huyo jamaa alipigiwa simu na tajiri aliyekuwa kwenye meli kwamba huyo tajiri alikuwa na million 80 na ambaye angemuokoa angechukuwaa hizo pesa. Ndo jamaa wakapagawa wakabeba mitungi ya gesi wakaenda kutoboa ili wamtoe tajiri wapate pesa. Ttizo lilikuwa elimu maana walisombwa wote kungizwa kwenye meli maana maji yaliingia kwa pressure kali nao wakafa.
Hii uliipata kwenye kijiwe cha kahawa nini Mkuu
 
!
!
Kukurupuka Tu Aisee. Yaani Alipoitoboa Tu, Ikazama Mazima. Kwa Sababu Ilizima Usiku Lakini Hadi Asubuhi Ilikuwa Bado Inaelea Tu. Alipoitoboa Tu Mazima Ikazama Hadi Leo. Wangetulia Wakaiivuta Nchi Kavu Wakajaribu Kutoa Watu.
Kwaiyo mkuu mpaka wanatoboa kulikua hakuna watu waliokua washakufa au kadhaa walikua tayari?
 
Mkuu mawakili wa serikali ni tatizo....
Yani makosa 159 lakini wakashindwa kuwapata na hatia...

Too bad, huyo Feleshi aliyekua anaendesha iyo kesi ndo akaja kua DPP!
Sasa hivi ni Jaji Kiongozi...so unaweza kuona system ilivooza
Aiseeee nimeshangaa mno..... Hii nchi imeoza aseeee
 
inasikitisha sana, m nlijua imetokea miaka ya 2001 hiv. kumbe siku 4 baadae kipind wa2 bdo wanamaskitiko ndo mm nilizaliwa 25th, may of 1996.
POLE KWA WOTE WALIOGUSWA NA AJALI HII kw namna yyt.
 
Kwenye hio meli alifariki jamaa aliemfukuza kazi mzee wangu lakini Mungu alikua pamoja na mzee wangu alifanikiwa kujiajiri na mambo yakawa vizuri tuu
Kwahiyo maoni yako ni nini? Kwamba tusiwafukuze kazi watu sababu tunakufa?
 
Sijui watanzania tuna tatizo gani na kuoverweight hata kwenye gar imeandikwa tan moja gar inabeba tan na nusu siti za watu wa tano tunakaa 9
Hili nitatizo. Nimeshuhudia hapa kazini kwangu kirikuu aka suzuki carry imeandikwa inapakia kilo 350 lakini inabeba tani 2. Hatari sana
 
Ee mwenyezi Mungu unapookoa wengine na majanga kama haya, usinisahau mimi, familia yangu na nduguzangu
 
Daa sitaisahau ajali ya hii meli japo haikuniathiri Mimi kwa chochote.
 
Hivi ni kweli wanavyosema Israel waliiona kwenye satellite wakati inazama au ndio zile stories za wajuaji kwenye vijiwe? Maana hiyo hali iliniongezea uchungu zaidi
 
Back
Top Bottom